Sehemu ya 1: Taarifa za Mawasiliano
Unajaza fomu hii kwa niaba ya mtu au kundi jingine?
Je, unataka IRM iweke utambulisho wako kuwa siri?
Sehemu ya 2: Mradi Unaohusiana na Malalamiko
Sehemu ya 3: Lalamiko
Tafadhali tupe taarifa au maelezo yoyote muhimu kuhusu dukuduku au malalamiko yanayohusiana na mradi ulio hapo juu na ujumuishe mifano yoyote ya madhara halisi au yanayoweza kutokea.
Mawasiliano na mtu kuhusu mradi huo?
Je, umewahi kuwa na mawasiliano yoyote hapo awali na mamlaka au afisa yeyote anayehusiana na mradi au Uongozi wa AfDB kuhusu wasiwasi wako kuhisiana na mradi huu?
Kama ndiyo, tafadhali eleza matokeo ya mawasiliano hayo ya awali. Kama hapana, tafadhali tupe maelezo kwa nini hujawasiliana moja kwa moja na mfadhili/msanidi wa mradi au Uongozi wa AfDB.
I, una wasiwasi kuhusu usalama wako au wasiwasi unaohusiana na ulipizaji kisasi dhidi yako au wengine kwa kutoa malalamiko haya?